Trump azindua “Bodi ya Amani” Davos, asema dunia inaweza kuongozwa kutokea Marekani

Davos. Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua mjadala wa kimataifa baada ya kuzindua rasmi chombo kipya cha kimataifa alichokiita Bodi ya Amani, ambacho amelenga kiwe mbadala wa Umoja wa Mataifa. Akitangaza amesema kuwa mara kitakapokamilika, Marekani na washirika wake “wanaweza kufanya karibu chochote wanachotaka.” Trump ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Januari 22, 2026 wakati wa…

Read More

Viuatilifu 805 vimeondolewa, Serikali yapiga marufuku kuingizwa nchini

Arusha. Serikali kupitia Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imeondoa sokoni jumla ya viwatilifu 805 vilivyoainishwa kuwa na viambata hatarishi na ambavyo usajili wake haukuhuishwa kwa zaidi ya miaka 10 ili kudhibiti athari zinazohusiana na matumizi yake nchini. TPHPA yenye jukumu la kusimamia uingizaji, usambazaji, na matumizi ya Viuatilifu nchini imeondoa viuatilifu…

Read More

Mavunde awaonya maofisa madini kusababisha migogoro

Dodoma. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa maagizo matano kwa Maofisa Madini wa Mikoa (RMOs), akiwataka kuzingatia sheria, kanuni na taratibu katika utekelezaji wa majukumu yao na kuepuka kuwa chanzo cha migogoro kwenye maeneo ya uchimbaji madini. Aidha, amewaonya wamiliki wa leseni za utafiti wa madini ambazo hazijafanyiwa kazi kujiandaa kufutiwa, akisema Serikali itafanya ukaguzi…

Read More

Kumbukizi maisha ya Mtei yaahirishwa, sababu zatajwa

Arusha. Kumbukizi ya maisha ya Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu Edwin Mtei iliyokuwa imepangwa kufanyika kesho Ijumaa Januari 23, 2026, imeahirishwa ili kupisha maandalizi ya ibada ya maziko. Mtei (94), atazikwa nyumbani kwake eneo la Tengeru, mkoani Arusha, Jumamosi Januari 24,…

Read More

Mabomu ya machozi yatumika kutawanya wachimbaji wadogo

Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya baadhi ya wachimbaji wadogo waliokuwa wameandamana, wakidai mmiliki wa leseni ya uchimbaji  kupunguza malipo ya ubia katika shughuli za uchimbaji wa dhahabu. Baadhi ya wachimbaji hao, wamedai kuwepo kwa ukosefu wa usawa katika mgao wa mifuko ya mawe yenye dhahabu, wakieleza kuwa hali…

Read More

SJMT NA SMZ ZAWEKA MIKAKATI KUIMARISHA MUUNGANO

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Dkt. Islam Seif Salum (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Richard Muyungi muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi hizo Mjini Zanzibar leo Alhamisi Januari 22, 2026. ********************* Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali…

Read More