Kusimamia Uchumi wa Nepal Huku Kukiwa na Changamoto za Ulimwengu – Masuala ya Ulimwenguni

Nchi inakabiliwa na changamoto ya mpito, lakini inaweza kuendelea ikiwa watu watafanya kazi pamoja. Maoni na Krishna Srinivasan (washington dc) Alhamisi, Januari 22, 2026 Inter Press Service WASHINGTON DC, Januari 22 (IPS) – Nepal ina fursa ya kipekee ya kuleta mabadiliko. Maandamano ya hivi majuzi yaliyoongozwa na vijana yalisisitiza matarajio ya uwazi zaidi, utawala bora…

Read More

Familia yagoma kuzika mwanafunzi anayedaiwa kukatwa na jembe shuleni

Shinyanga. Mwanafunzi Kassim Omary (12) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Bukindwasali iliyopo Ushetu mkoani Shinyanga, amefariki dunia akidaiwa kukatwa kichwani na jembe wakati anachimba mchanga. Tukio hilo lilitokea Januari 21, 2026 wakati wanafunzi hao wakichimba mchanga kwa ajili ya ukarabati wa darasa uliokuwa ukiendelea shuleni hapo. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Janeth…

Read More

Takukuru yatangaza kuwasaka Alex Msama na Benny Sammoh

Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni imeanza msako wa kuwatafuta Alex Msama na Benny Sammoh ili wajibu mashtaka yanayohusisha uhalifu wa kifedha. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Alhamisi, Januari 22, 2026, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Kinondoni, Elizabeth Mokiwa, amesema washtakiwa hao…

Read More

Mwanafunzi afariki dunia akichimba mchanga shuleni, familia yakataa kuzika

Shinyanga. Mwanafunzi Kassim Omary (12) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Bukindwasali iliyopo Ushetu mkoani Shinyanga, amefariki dunia akidaiwa kukatwa kichwani na jembe wakati anachimba mchanga. Tukio hilo lilitokea Januari 21, 2026 wakati wanafunzi hao wakichimba mchanga kwa ajili ya ukarabati wa darasa uliokuwa ukiendelea shuleni hapo. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Janeth…

Read More

CMA yaja na mkakati kuharakisha utatuzi migogoro kazini

Dar es Salaam. Suala la kusafiri kufuata mahakama kwa ajili ya utatuzi na usuluhishaji wa migogoro ya kazi halitakuwepo tena, baada ya kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidijitali wa e-Utatuzi, unaoruhusu usajili wa mashauri ya usuluhishi na uamuzi kwa njia ya mtandao. Mfumo huo, uliozinduliwa jana Jumatano, Januari 21, 2026 jijini Dar es Salaam, unalenga…

Read More

Paul Peter anazitaka hela dirisha kubwa

KUMBUKUMBU tuliyonayo hapa kijiweni ni straika wa mpira, Paul Peter alishawahi kuonja hela za timu kubwa hapa nchini ingawa hazikuwa nyingi sana kwa vile alikuwa bado kinda wakati huo. Ni kipindi alipopandishwa katika kikosi cha wakubwa cha Azam FC baada ya kuonyesha kiwango kizuri akiwa na timu yao ya vijana. Hata hivyo, kutokana na uwingi…

Read More