Bahari ya Dunia Ilipiga Rekodi ya Joto katika 2025, kwa Gharama Kubwa za Kiuchumi na Kijamii – Masuala ya Ulimwenguni

Wavuvi wawili katika mashua yao huko Rincao, Cabo Verde. Credit: UN Photo/Mark Garten na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Alhamisi, Januari 22, 2026 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Januari 22 (IPS) – Mwaka 2025, halijoto ya bahari duniani ilipanda hadi kufikia viwango vya juu zaidi kuwahi kurekodiwa, ikiashiria kuendelea kuongezeka kwa joto ndani ya…

Read More

BENKI YA TIB -TUNAWAJENGEA UWEZO WAJASIRIAMALI KUINGIA KWENYE MASOKO NA KUWEZA KUTAFUTA MITAJI

  Na Oscar Assenga,TANGA BENKI ya Maendeleo ya TIB inashiriki maonesho ya tano ya Wiki ya Huduma ya Fedha huku wakieleza kazi yao kubwa kuhakikisha wanaibua wajasiriamali  na kuwajengea uwezo ili waweze kukopesheka na mabenki mengine na kuondokana na changamoto ambazo wanakabiliana nazo .Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo Tanzania Deogratius Kwiyukwa…

Read More

Trump atoa ofa nzito kwa wakazi wa Greenland

Davos. Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema anatafakari mpango anaouita “makubaliano ya mwisho”, unaolenga kuwapa wakazi wa Greenland, ofa ya hadi dola milioni moja kwa kila mtu endapo wataidhinisha kujiunga na Marekani kupitia kura ya maoni. Pendekezo hilo linaelezwa kuwa sehemu ya mkakati mpana wa Marekani kuimarisha masilahi yake ya kiusalama na kijiografia katika eneo…

Read More

Israel Yaua Waandishi wa Habari Gaza – Video

Waandishi watatu wa habari wa Kipalestina wameuawa kufuatia shambulio la anga la Israel katikati mwa Ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa wahudumu wa uokoaji. Shirika la Ulinzi wa Raia la Gaza, linaloendeshwa na Hamas, lilisema gari walilokuwa wakisafiria waandishi hao wa habari lilishambuliwa katika eneo la al-Zahra. Waliouawa wametajwa kuwa ni Mohammed Salah Qashta, Anas…

Read More

Mvua yabomoa, kuezua nyumba tano Makambako

Njombe. Nyumba tano zilizopo mtaa wa Idofi, kata ya Mlowa, wilayani Makambako, Mkoa wa Njombe zimeezuliwa na ukuta kubomoka kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali. Kati ya nyumba hizo, mbili zimebomolewa jana Jumatano, Januari 21, 2026 ukuta na tatu zimeezuliwa paa na kusababisha wenye nyumba hizo kukosa makazi. Mwenyekiti wa Mtaa wa Idofi,…

Read More