Butiku: Tusipoteze msingi wa Taifa, tukitafakari Oktoba 29
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amewataka Watanzania kutotoka nje ya msingi wa Taifa, wakati huu nchi ikitafakari kujua kilichotokea Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Butiku ameeleza hayo Alhamisi Januari 22,2026 wakati wa kikao chake na wazee kinachoendelea jijini Dar es Salaam, kikijadili…