Maelfu ya Wakulima Wadogo Wadogo wa Kahawa wa Kenya Wako Hatarini Kupoteza Soko la Umoja wa Ulaya Jinsi Sheria ya Ukataji Misitu Inavyochukua Athari – Masuala ya Ulimwenguni

Mkulima wa kahawa akikagua shamba lake lililounganishwa katika Kaunti ya Kiambu, Kenya. Credit: Jackson Okata/IPS na Jackson Okata (nyeri, kenya) Jumatano, Januari 21, 2026 Inter Press Service NYERI, Kenya, Januari 21 (IPS) – Kwa miaka ishirini iliyopita, Sarah Nyaga, mkulima mdogo kutoka Kaunti ya Embu katikati mwa Kenya, amekuwa akilima kahawa. Kama ilivyo kwa wengi…

Read More

TRA Yazindua Mafunzo ya IDRAS, Taasisi 60 Kuunganishwa

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema hadi kufikia uzinduzi rasmi wa Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) unaotarajiwa kufanyika Februari 9, mwaka huu, jumla ya taasisi 60 zitakuwazimeunganishwa na mfumo huo ili ziweze kutoa huduma kwa wafanyabiashara. Kamishna wa Kodi za Ndani, Alfred Mlegi amesema hayo leo Januari, 21,2026 wakati wa ufunguzi…

Read More

Takukuru yatakiwa kuchunguza kusuasua mradi wa elimu Iringa

Iringa. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo kuchunguza miradi ya elimu iliyochelewa kukamilika licha ya fedha zote kutolewa. Agizo hilo limetolewa Januari 20, 2026 baada ya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari Lugalo, ambapo ujenzi wa bweni la wanafunzi uliopewa Sh159 milioni…

Read More

Marekebisho hati ya mashtaka kesi ya kughushi mafuta moto

Mabadiliko ya hati ya mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayotokana na mashtaka ya kujipatia kwa njia za udanganyifu  shehena ya mafuta yenye thamani ya zaidi ya Sh10 bilioni yameibua mvutano mkali wa hoja za kisheria baina ya mawakili a pande mbili. Kutokana na mvutano huo kesi hiyo imekwama kuendelea kusikilizwa na mwenendo kabidhi, kwa…

Read More

Baba adaiwa kumuua mwanaye kisa pombe ya posa

Moshi. Mkazi mmoja wa Uru Shimbwe mkoani Kilimanjaro, Laurian Teti anadaiwa kumuua kijana wake mwenyewe baada ya kumdai pombe iliyonunuliwa kwa ajili ya maandalizi ya kikao cha posa ya dada yake. Kijana huyo anayetambulika kwa jina la Mathias Teti (26), anadaiwa kufariki dunia usiku wa Januari 21, 2026 nyumbani kwao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,…

Read More

Viongozi wa Chadema Mbeya wadaiwa kushikiliwa na Polisi

Dar es Salaam. Viongozi wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya wanadaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kufanya kusanyiko bila kibali. Tukio hilo limeelezwa kutokea leo Jumatano, Januari 21 katika Kata ya Inyala Wilaya ya Mbeya wakati viongozi hao walipokuwa kwenye maadhimisho ya miaka 33 ya kuasisiwa kwake….

Read More