Maumivu ya Oktoba 29 yaanza kung’ata Mbeya
Mbeya. Athari ya vurugu na maandamano yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu yameanza kung’ata kufuatia wananchi na viongozi jijini Mbeya kulalamikia mazingira yasiyo rafiki katika kutoa na kupata huduma kufuatia matukio ya uchomaji moto ofisi za serikali za mitaa na kata. Oktoba 29 zilizuka vurugu na maandamano katika baadhi ya maeneo nchini, ambapo kwa…