Mawazo Adaiwa Kumuua Mwenzake na Kupora Pikipiki – Video
Mawazo Adaiwa Kumuua Mwenzake na Kupora Pikipiki – Video – Global Publishers Home Habari Mawazo Adaiwa Kumuua Mwenzake na Kupora Pikipiki – Video
Mawazo Adaiwa Kumuua Mwenzake na Kupora Pikipiki – Video – Global Publishers Home Habari Mawazo Adaiwa Kumuua Mwenzake na Kupora Pikipiki – Video
Mbeya. Wataalamu wanaoandaa mpango mkakati katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wametakiwa kuandaa unaokubalika na wananchi kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Pia wamesisitizwa umuhimu wa ushirikishwaji wa wadau mbalimbali, wakiwamo viongozi wa siasa, sekta binafsi, asasi za kiraia, wananchi kwani mpango huo ukikubalika utatoa matokeo chanya kwa jamii husika. Akifungua…
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha SME wa Bank of Africa Tanzania, Beatrice Richard akizungumza wakati wa mafunzo hayo. Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Biashara wa Bank of Africa Tanzania, Hamza Cherkaoui (katikati), akisalimiana na mmoja kati ya wateja waliohudhuria mafunzo ya elimu ya fedha kwa wajasiriamali yaliyoandaliwa na benki hiyo,Jijini Dar es Salaam. Naibu Mkurugenzi Mtendaji…
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Laurindo Dilson Maria Aurélio maarufu ‘Depu’ amesema anatamani kufanya makubwa zaidi akiwa na timu hiyo na mwanzo wake mzuri ni hatua ya kwanza tu ya safari ndefu aliyojipanga kuifanya klabuni hapo. …
Dodoma. Serikali imesema ipo mbioni kukamilisha mchakato wa huduma za uzazi wa mpango kuingizwa katika bima ya afya kwa wote, utakaokamilishwa na muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ambao kwa sasa unajadiliwa kwenye Kamati za Bunge. Hatua hiyo imekuja mwaka mmoja ukiwa umepita baada ya Shirika la…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa maafande wa Tanzania Prisons, Abdulkarim Segeja, amekamilisha usajili wa kujiunga na Coastal Union kwa mkataba wa miezi sita utakaomweka ndani ya kikosi hicho cha Wagosi wa Kaya hadi mwisho wa msimu huu. Nyota huyo aliyejiunga na Prisons katika dirisha dogo la Januari 2023 akitokea Copco ya jijini Mwanza, alisaini mkataba wa miaka…
MABOSI wa Azam wanaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo mshambuliaji wa Singida Black Stars raia wa Ivory Coast, Idriss Diomande, baada ya nyota huyo aliyehusishwa pia kuhitajika na Simba katika dirisha hili dogo dili lake kugonga mwamba. Nyota huyo alikuwa akihusishwa kujiunga na Simba kwa ajili ya kuchukua nafasi ya kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua aliyejiunga…
Na Khadija Kalili, Kibaha TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani, leo tarehe 21 Januari 2026, imekabidhi vifaa tiba vya kisasa vya aina mbili kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi, kwa lengo la kusaidia huduma za afya na ukuwaji wa watoto njiti. Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano…
KIUNGO wa zamani wa Simba na JKT Tanzania, Hassan Dilunga amekamilisha dili la kujiunga na TRA United akiungana na Mzamiru Yassin waliyecheza pamoja wakiwa Simba. Dilunga ambaye ameitumikia JKT Tanzania kwa misimu miwili, mkataba na klabu hiyo umetamatika hivyo ametua TRA United akiwa mchezaji huru. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya TRA United kimethibitisha usajili…