SERIKALI YATAKA CBE KUZALISHA WATAALAMU BUNIFU KUSAIDIA SEKTA YA UTALII
Serikali imekitaka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuelekeza nguvu katika kuzalisha wataalamu wabunifu na wenye ujuzi wa hali ya juu watakaoweza kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya utalii, ikiwa ni sehemu ya mkakati mpana wa kufikia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dennis Londo…