Ni vita ya Chipo, Maxime Ligi Kuu Bara
MIEZI 10 na siku 9 imepita kufikia leo Januari 21, 2026 na tunakwenda kushuhudia tena mtanange baina ya Mtibwa Sugar dhidi ya Mbeya City, huku safari hii ikiwa ni katika Ligi Kuu Bara. Uwanja wa Jamhuri uliopo Dodoma, utaamua vita hiyo ya makocha wawili, Yusuf Chipo na Mecky Maxime kuanzia saa 10:00 jioni. Timu hizo…