RAIS SAMIA AIBUKA KINARA TUZO ZA UHIFADHI NA UTALII
● Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalum ya Kiongozi Mwenye Maono ● Watalii wa kimataifa wafikia zaidi ya milioni 2.09 mwaka 2025. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameibuka kinara wa Tuzo za Kitaifa za Uhifadhi na Utalii (Serengeti Awards) kutokana na uongozi wake bora na wa kimkakati katika kukuza…