Wabunge ‘wanavyovaa’ sura tofauti | Mwananchi

Dar es Salaam. Tofauti na matarajio ya wengi waliokuwa wakikosoa na kuhofia iwapo Bunge la 13 lisingeweza kuweka mbele maslahi ya wananchi katika kusimamia uwajibikaji wa Serikali kutokana na kutawaliwa na chama kimoja, hali inaonekana kubadilika. Tangu kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 unaoendelea jijini Dodoma, baadhi ya wabunge wameibua hoja nzito…

Read More