Video: Mbunge Shigongo Atoa Hoja Muhimu Bungeni, Apongeza Rais Samia



Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo Alhamisi ya Januari 29, 2026 alipata nafasi ya kuchangia hoja bungeni ambapo alishauri mambo mengi ya muhimu kwa serikali kupitia kwa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba.

Sikiliza mchango wake kuanzia mwanzo mpaka mwisho bungeni jijini Dodoma ikiwa ni pamoja na jinsi alivyompongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua anazozichukua kuhakikisha rasilimali zilizopo zinawanufaisha wazawa.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.