Saidia Sayansi katika Kukomesha Mgogoro wa Bioanuwai Ulimwenguni—Mfalme Charles – Masuala ya Ulimwenguni

David Oburo, Mwenyekiti wa IPBES. Credit: Busani Bafana/IPS by Busani Bafana (bulawayo) Jumanne, Februari 03, 2026 Inter Press Service BULAWAYO, Februari 3 (IPS) – Mfalme wa Uingeŕeza Mfalme Charles anasema sayansi ni suluhu la kulinda asili na kukomesha upotevu wa viumbe hai duniani, ambao unatishia maisha ya binadamu. Katika ujumbe kwa kikao cha 12 cha…

Read More

Pedro ashusha pumzi akimtaja Buba Morocco

BAADA ya Yanga kumtambulisha winga mpya, Buba Jammeh, kuwa usajili wa mwisho kikosini hapo kabla ya dirisha dogo halijafungwa Januari 30, 2026, hivi sasa mashabiki wa timu hiyo wanamsubiri kwa hamu kumuona uwanjani. Wakati hamu ya mashabiki ikiwa juu, kocha wa kikosi hicho, Pedro Goncalves amefichua taarifa za staa huyo, akisema jamaa akiwahi tu basi…

Read More

Watunisia waondoka na jina la Yusuph Kagoma

KOCHA wa Esperance, Maher Kanzari ameondoka Tanzania na kurejea Tunisia akiwa na kumbukumbu ya kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma, baada ya nyota huyo kuwasumbua katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyochezwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam. Kagoma alikuwa mhimili mkuu wa Simba katika kipindi cha kwanza cha mchezo…

Read More