Nyuma ya Mzize kusafiri na Yanga Morocco

BAADA ya kipindi kirefu cha sintofahamu na maswali mengi kutoka kwa mashabiki wa Yanga, hatimaye jina la Clement Mzize limeibuka kwenye msafara wa kikosi hicho kilichosafiri kwenda Morocco kwa ajili ya mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FAR Rabat. Uwepo wake kwenye safari hiyo umeibua mijadala kutokana na ukweli kwamba mshambuliaji huyo…

Read More