Tandika Jamvi la Ushindi na Meridianbet Leo

WAKALI wa ubashiri wanakwambia kuwa siku ya leo unaweza ukaondoka na mkwanja mnene ukibashiri mechi zako na Meridianbet leo. Suka jamvi lako na uondoke na pesa yako sasa.
Ligi kuu ya Uingereza itaendelea EPL ambapo mapema kabisa Manchester United watakipiga dhidi ya Tottenham Spurs ambapo mara ya mwisho kukutana walitoka sare. Je safari hii nani kuibuka mbabe ambapo vijana wa Carick wamekuwa na matokeo mazuri?. Bashiri hapa.
Vinara wa ligi, Arsenal watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Sunderland ambao wanashika nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Arteta wanahitaji ushindi kwenye mechi hii waweze kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Nao Chelsea watakuwa kibaruani dhidi ya Wolves katika dimba la Molineux ambao wapo kwenye nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana The Blues waliondoka na ushindi. Je leo hii nani kuondoka na mkwanja?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi hii. Jisajili hapa.
Tusua chap chap na michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
LALIGA nayo kama kawaida kitawaka Barcelona atamenyana dhidi ya Mallorca ambao wapo nafasi ya 14 mpaka sasa. Mechi ya mwisho walipokutana vijana wa Hans Flick waliondoka na ushindi mnono. Je wageni wanaweza kuwazui Barca kukaa kileleni?. Suka jamvi mechi hii.
Sevilla uso kwa uso dhidi ya Girona ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 1 pekee. Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameipa mechi hii ODDS za kibabe sana hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ubashiri hapa. Jisajili hapa leo.
Kwa upande wa Elche wao watasafiri kupepetana dhidi ya Real Sociedad ambao wanashika nafasi ya 8 huku wenyeji woa wakiwa nafasi ya 13. Mara ya mwisho kukutana kati yao walitoka sare. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3 za ushindi?. Beti hapa.
Kule Ujerumani, BUNDESLIGA pia itaendelea kwa michezo mingi VFB Stuttgart atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya ST. Pauli ambao mechi ya mwisho walipoteza wlaipokutana. Hii ni mechi ya kisasi kwa mwenyeji kwnai anataka pointi 3. Je mgeni atakubali kupoteza mechi hii?. Beti sasa.
Wolfsburg atakuwa na kazi ya kumfunga Borussia Dortmund ambao wanashika nafasi ya 2 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii ndani ya Meridianbet. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
Saa 2:30 usiku, Bayer Leverkusen atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Borussia Monchegladbach ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 12 huku wageni woa wakiwa nafasi ya 6. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii huku Meridianbet ikikwambia kuwa maokoto yanakungoja wewe. Jisajili hapa.