NAHUBIRI: Unaposaidia mhitaji, unagusa moyo wa Mungu
Bwana Yesu apewe sifa mtu wa Mungu, nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo aliye hai. Ni imani yangu kuwa Mungu ameendelea kuwa mwaminifu kwako tangu mwaka jana hadi leo hii, kwa hakika hata sasa yeye ni Ebenezer. Namtuza Bwana kwa ajili ya mwaka 2025 kwani alinipa kibali cha kusema nawe kwa habari ya Ufalme wa…