Faida, Hasara Za Wapendanao Kuambizana Ukweli!

UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa kidogo ili mambo yaende. Wanaitumia hiyo kama silaha wakidai kwamba wanawake ni watu ambao wakijua kila kitu wanasumbua. Wanaamini kwamba hata kama ni fedha, mwanaume akimuambia mpenzi wake ana jumla ya kiasi fulani cha fedha basi matumizi yatakayoibuliwa…

Read More