Orodha ya kampuni bora za kubeti mtandaoni

Tasnia ya michezo ya kubeti imekuwa ikukua kwa siku hadi siku ikiwavutia  watu wengi hasa vijana. Kwa Tanzania serikali imekuwa ikiingiza mapato kupitia kodi mbali mbali .

Michezo ya kubeti tanzania husimamiwa na bodi ya michezo ya bahati nasibu GBT kwa ufanisi mkubwa. Katika makala hii tuta orodhesha kampuni  kulingana na ubora wake wa huduma  kwa mujibu wa tafiti zetu

kampuni hii ya kubeti ndio inashika namba moja kwa sass nchi Tanzania . Humilikiwa na chini ya Media Bay Limited , lakini pia hufanya kazi katika nchi nyingine za afrika na ulaya pamoja na baadhi ya nchi America. Miongoni mwa huduma wanazotoa ni kubashiri mtandaoni  pamoja na michezo ya casino za mtandaoni. Huduma nzuri kwa wateja, malipo ya haraka , cashout na cashback ndio mambo yanayofanya kushika namba moja.

Jinsi ya kujisajili Betway Tanzania

-Kujiunga na betway Tanzania Bofya >HAPA>au tembelea tovuti ya betway

– Jaza promo code ya betway/sign up code/ voucher code ambayo ni TZA84

– tiki vibox vya kukubali sheria na masharti kisha jiunge

888bet ipo chini ya Port Achia Tanzania Ltd . Hii inashika namba mbili katika ubora wa huduma za kubeti Tanzania , pamoja na online casino. Malipo ya haraka pamoja na odds kubwa, pamoja michezo mingi zinaifanya kuwa bora zaidi.

Kujiunga na 888bet Tanzania Bofya >HAPA>  kisha chagua jiunge, jaza namba ya simu na tengnezwa password ambayo utaikumbuka na jiunge.

3 .Meridianbet  Tanzania

Kampuni hii ya kubeti mtandaoni na katika maduka humilikiwa Bit Tech Limited. Nani Miongoni mwa kampuni kongwe au za muda mrefu ya kubashiri tanzania . Machaguo mengi, huduma nzuri kwa wateja pamoja urahisi wake wakujiunga na kutumia unafanya kushika 3 bora .

Jinsi ya kubeti na Meridianbet

  • Ingia katika tovuti ya Meridianbet kwaku bofya >HAPA>
  • Jaza namba yako ya simu kwa usahihi
  • Tengeneza passwords
  • Jaza promo code au msimbo wa ofa wa Meridianbet  ambao ni 1109
  • Kubali vigezo na masharti na jiunge.

Helabet ni kampuni  ya kimataifa ya kubashiri inayofanya pia kazi zake nchi Tanzania  chini ya kampuni ya Cheza IT Solution Limited , ikiwa na huduma bora zaidi kwa wateja wake. Kwa utafiti wetu kampuni hii inashika namba nne kwa ubora.

Jinsi ya Kubeti na Helabet

  • Ingia katika Tovuti ya Helabet kwa kubofya >HAPA> au ingia google tafuta helabet
  • Jaza namba yako ya simu kisha bofya send sms utapokea code jaza
  • Tengeneza passwords
  • Jaza promo code ya helabet ambayo ni A84
  • Bofya jisajili

Hii ndio inashika tano bora kwa ubora hapa nchi unafanya kazi chini ya Fido Technologies  Ltd , napia hufanya kazi katika nchi nyingine afrika kama vile, Rwanda, Uganda, Kenya, zambia, msumbiji, Congo, guinea, malawi, liberia na Benin.

Jinsu ya Kujisajili Gal sport

  • Ingia kwenye app au tovuti ya Galsport kwa kubofya >HAPA>
  • Jaza namba ya simu
  • Jaza promo code ya Gal sport ambayo ni 1995
  • Bofya jisajili

Hii ina operate chini ya Playmaster Gaming Corporation Limited. Ni Miongoni mwa kampuni za muda mrefu zinazotoa huduma bora za betting na casino nchini Tanzania . Pamoja na kuwa na michezo mingi ya casini za mtandaoni, pmbet ni rahisi kutumia, malipo ya haraka, huduma bora wachezaji wake miongoni mwa mambo mengine.

Namna ya kuanza kubeti na pmbet

  • Ingia  kwa kubonyeza >HAPA>
  • Jaza namba pamoja na password
  • Jaza promo code ya pmbet ambayo ni A84
  • Bofya jisajili  mpaka hapo utakuwa umekamilisha zoezi la kujiunga kwa haraka zaidi

Hii ni kampuni ya kimataifa ya kubashiri na casino za mtandaoni , hufanya kazi katika nchi mbalimbali duniani , imejisajili tanzania na inafanya kazi chini ya Katavi Gaming Limited . 1xbet inasifika kwa kuwa michezo mingi ya kubeti pamoja na option mbalimbali

Jinsi ya kujiunga na 1xbet

  • Ingia google tafuta 1xbet
  • Jaza namba ya simu pamoja na password
  • Jaza promo code ya 1xbet ambayo ni A7771
  • bofya Jisajili

Hii inaingia katika kundi la kampuni kongwe za kubashiri mtandaoni, inamilikiwa na Entertainment  Africa limited. Husifika kwa kuwa na huduma bora kama vile cashout, bonasi mbalimbali, kama bike bonasi ya ukaribisho na malipo ya haraka.

Kujijsajili Premierbet Tz

  • Ingia katika tovuti ya premierbet kwa kubofya >HAPA> au kutafuta katika Google
  • Jaza taarifa zinazohitajika wakati wakujiunga
  • Jaza promo code au msimbo wa ofa jaza neno Ofa
  • Jiunge

Hii pia ni kampuni ya kimataifa inayofanya kazi katika nchi nyingine kama vile india, kenya, nigeria , zambia , na bangladesh. Imesajiliwa kikamilifu na inaongoza shughuli zake chini ya bodi ya michezo ya bahati nasibu, hufanya malipo ya haraka, huwa na odds kubwa pamoja na cashout ya uhakika

Jinsu ya kujiunga Paripesa

  • Ingia katika Tovuti ya paripesa kwa kubofya >HAPA>
  • jaza namba ya simu
  • Tengeneza password
  • Jaza promo code ya paripesa ambayo ni A84
  • Bofya jisajili

katika orodha ya 10 bora tunafunga na betwinner ambayo inafanya kazi chini ya Bellatrix Media Limited . Kama ilivyo kwa kampuni nyingine za 1X , hekabet,paripesa na 1win kampuni ya betwinner ni miongoni mwa kampuni za kimataifa zinazofanya kazi pia Tanzania, hivyo unavyo viwango vya kimataifa

-ingia betwinner jwa kubofya >HAPA>

– jaza promo code ya betwinner ambayo ni 199511

kamilisha usajili kwenye profile

Kampuni hii ina leseni ya curacao na hufanya kazi katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania , urahisi wa kuweka na kutoa pesa, malipo ya haraka, alama kubwa , machaguo mengi inaifanya kuingia katika namba 11

-ingia katika melbet au bofya >HAPA>

– Jaza namba , na password

– Jaza promo code ya melbet andika neno OFA

Hii ni kampuni kubwa ya kimataifa ya kubashiri mtandaoni ambayo unaweza kuitumia pia ukiwa Tanzania . Kampuni hii ina leseni ya kimataifa ya curacao. Husifika kwa kuwa na bonasi kubwa ya ukaribisho , cashback , na odds kubwa.

-ingia google tafuta 1win

-Jaza promo code ya 1win ambayo ni A7771

kampuni hii ya kubeti humilikiwa na Sandstorm Company limited. Kampuni hii pamoja na upya wake katika soko la tanzania bado inatoa huduma bora zaidi. Inafanya kazi pia katika nchi ya india, kenya na Tanzania .

  • Ingia katika tovuti ya Leonbet kwa kubofya >HAPA>
  • Jaza namba ya simu
  • Jaza promo code ya leonbet ambayo ni A7771
  • Jisajili

Kampuni hufanya kazi chini ya Ultimate Gaming system , kwa muda mrefu parimatch imekuwa ikitoa huduma nzuri kwa wateja wake, ikiwa ni pamoja na cashout ya uhakika, michezo mingi ya kitaifa na kimatifa, casino na slots nyingi za mtandaoni, miongini mwa huduma mbalimbali

Kujisajili ba Parimatch Bofya >HAPA>

Kampuni hii inasimamiwa na Paladin & Associates Company  Ltd. Nirahisi kutumia, huzinagatia miongozo ya bodi ya michezo ya bahati nasibu, michezo mingi ya kubashiri, kasino bora pamoja na uharaka katika kutoa pesa.

Kujiunga na Betika Bofya >HAPA>

Kampuni hii ipo chini ya Sport pesa Limited , hufanya kazi katika nchi mbalimbali ikiwemo kenya iliingia tanzania kwa zaidi ya miaka 7 iliyopita baada ya kutawala soko la kenya. Michezo maarufu kwenye sportpesa ni pamoja na Sportpesa jackpot , ya katikati ya wiki na jackpot  ya mwisho wa wiki.

Kujiunga sportpesa bofya >Hapa>

Hii ipo chini ya Choplife , na inafanya kazi katika nchi mbalimbali africa kama vile, ghana, Mozambique , zambia, southafrica, nigeria , na nchi nyingine mbalimbali africa. Betpawa husifika kwa mfumo rahisi wa kutumia pamoja na malipo ya haraka kwa wateja , kujiunga na betpawa bofyav>Hapa>

App hii ya kubeti ipo chini ya Marawin Limited , pia hufanya kazi nchi mbalimbali kama vile ghana , zambia, na nigeria, sportbet ni rahisi kutumia na malipo yake ni ya haraka unaweza kuijaribu  sportybet kwa kwa kubofya >Hapa>

Kampuni ya kingbet hufanya kazi chini ya Jx Betting (T) Limited kwa zaidi ya miaka mnne sasa imekuwa ikitoa huduma safi kwa wateja ikiwa ni pamoja na odds nono na cashout iliyonona ndiposa imezidi kampuni nyingine zitakazofuata katika orodha  Kuingia Kingbet Bofya >Hapa> invitation  code jaza

Hii ina operate chini ya M/S Bahatisha Basi Tanzania Limited hii inafunga orodha katika ishirini bora kutokana na ubora wake katika alama na Huduma nzuri mbalimbali kwa wateja kuingia Bangbet bofya>Hapa>

21. Wasafibet company limited

Hii inashika nafasi ya 21 , huoperate kwa ushirika na oddbet kenya chini ya wasafi bet company limited, husifika kwa kuwa na huduma bora pamoja na kutikuwa na miaka mingi sana katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu Tanzania. Kuingia wasafibet bofya >Hapa>

Kampuni nyingine za kubashiri mtandaoni ni hizi

22. Sokabet chini ya Digital Gaming solution, 

23. Gwalabet chini ya whiteball Company limited

24. Biko sport chini ya Mobibet

25. Pigabet chini ya Dunia investment  Limited

26. Tembo bet chini ya betx Limited

Orodha hii ya kampuni za kubashiri imezingatia ubora wa kampuni husika katika kutoa huduma bora kwa wateja wake ambayo imezingatia maoni na kura za wadau mbalimbali kulingana natafiti zetu.