Hatari ya saratani kwa wapenda nyamachoma
Nyama choma ni miongoni mwa vyakula vinavyopendwa kwa kiwango kikubwa, hasa katika mikusanyiko ya kijamii na sherehe. Hata hivyo, kazi za kitafiti za kisayansi zimeonyesha kuwa ulaji wa nyama iliyochomwa sana au iliyoungua unaweza kuhusishwa na ongezeko la hatari ya baadhi ya saratani, hususan kansa ya utumbo mpana. Utafiti uliofanywa mwaka 2005 na Taasisi ya…