UN Tourism imeitaja Tanzania kushika nafasi ya 11 duniani na nafasi ya sita (6) kwa Afrika na Mashariki ya Kati na kuwa miongoni mwa nchi 20 katika nchi zilizofanya vizuri zaidi katika sekta ya Utalii duniani.
Ripoti ya Januari 2026 iliyotolewa na UN Tourism imeangalia ongezeko la watalii wa Kimataifa kati ya mwaka 2019 na 2025.
.jpeg)

