Beki Bigman matumaini kibao Championship
BEKI wa kati wa Bigman FC, Better Abdallah Mnyamisi, amesema licha ya kukitumikia kikosi hicho kwa muda wa mwezi mmoja tangu ajiunge nacho akitokea, IAA ya jijini Arusha inayoshiriki Ligi Daraja la Pili, ila anafurahia maisha yake mapya. Nyota huyo alijiunga na IAA baada ya kuachana na TMA ya jijini Arusha inayoshiriki Ligi ya Championship,…