Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • Saleh Aipa Moyo Simba Kabla ya Dabi ya Kariakoo ‘Wajiamini’ – Video

    9 minutes ago
  • Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 27, 2025

    30 minutes ago
  • MAGAZETI YA TZ LEO IJUMAA FEB 27,2026 I

    1 hour ago
  • Fahamu Kwa Nini Wataalamu wa Lishe Wanashauri Kula Korosho Mara kwa Mara

    2 hours ago
  • Historia ya Karimjee Hall na Familia Iliyochangia Uhuru wa Tanganyika

    2 hours ago
  • Usipuuze! Soma Hatari za Kulala na Hasira Ndani ya Ndoa Zafichuliwa

    3 hours ago
  • Home
  • 2026
  • February
  • 27

February 27, 2026

  • Michezo

Saleh Aipa Moyo Simba Kabla ya Dabi ya Kariakoo ‘Wajiamini’ – Video

Admin9 minutes ago01 mins

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Mchambuzi nguli wa soka nchini, Saleh Jembe, amesisitiza kuwa hakuna sababu kwa Simba kuiogopa Yanga Machi 01, 2026 katika dimba la New Amaan Complex visiwani Zanzibar, maarufu kwa jina la utani Guantanamo Bay. Kwa mujibu wa Jembe, mechi kati ya Simba na Yanga ni ya ushindani wa kihistoria…

Read More
  • Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 27, 2025

Admin30 minutes ago01 mins

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 27, 2025 appeared first on Global Publishers.

Read More
  • Magazeti

MAGAZETI YA TZ LEO IJUMAA FEB 27,2026 I

Admin1 hour ago01 mins

 

Read More
  • Habari

Fahamu Kwa Nini Wataalamu wa Lishe Wanashauri Kula Korosho Mara kwa Mara

Admin2 hours ago05 mins

KOROSHO ni muhimu sana katika mwili wa binadamu. Kwa Tanzania zao hili hulimwa kwa wingi katika mikoa ya pwani hasa Mtwara, Lindi na Pwani.  Wengi wetu hatuli korosho na hata pale tunapokula, hula kama kitafunwa cha kuchangamsha mdomo tu, na wala siyo kitu muhimu sana kuliwa. Korosho ina faida nyingi sana kiafya, hasa katika magonjwa…

Read More
  • Habari

Historia ya Karimjee Hall na Familia Iliyochangia Uhuru wa Tanganyika

Admin2 hours ago03 mins

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments UKUMBI wa bunge uliokuwa unatumika jijini Dar es Salaam kabla ya kuhamia Dodoma unaitwa Karimjee Hall. Kwa kifupi, majina hayo yanatokana na familia ya Karimjee ya Madhehebu ya Bohra, iliyoongozwa na Jivanjee Budhabhoy mwaka 1825, iliyotoka huko Cutch Mandvi, India na kuja Afrika Mashariki na hatimaye kuishi Zanzibar….

Read More
  • Habari

Usipuuze! Soma Hatari za Kulala na Hasira Ndani ya Ndoa Zafichuliwa

Admin3 hours ago03 mins

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Wataalamu wa ushauri wa ndoa na mahusiano wanasema kuwa moja ya nguzo muhimu inayoweka msingi imara katika uhusiano wowote ni uwezo wa wapenzi kusameheana haraka na kuachana na kinyongo. Kitendo cha kushikilia makosa ya mwenzi kwa muda mrefu kinaelezwa kuwa chanzo kikuu cha migogoro, majeraha ya moyo na…

Read More

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo