MERIDIANBET ikiwa kama kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, wanakwambia kuwa kushinda Mamilioni leo ni nje nje kabisa. Unachotakiw akufanya ni kuingia kwenye akaunti yako na kutengeneza mkeka wa ushindi sasa.
EPL kule Uingereza kuna mechi moja ambayo itapigwa kati ya Wolves vs Aston Villa ambao msimu huu wamekuwa na mwenendo mzuri sana kwenye ligi kwani mpaka wakati huu wanashika nafasi ya 3 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mechi hii inaweza kukupatia pesa nyingi zaidi. Bashiri sasa.
Kule Hispania pia kutakuwa na mchezo mmoja wa LALIGA, Deportivo Alaves atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Levante ambao wanashika nafasi ya 19 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 14. Mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka na ushindi. Vipi leo mwenyeji anaweza kulipa kisasi na kusogea juu kidogo kwenye msimamo wa ligi?. Suka jamvi hapa.
Pesa ni rahisi ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Vilevile Ijumaa ya leo BUNDESLIGA kule Ujerumani kutakuwa na mtanange mkali kati ya Augsburg vs FC Cologne ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 2 pekee. Kwenye msimamo wenyeji yeye anashika nafasi ya 11 na mgeni wake anashika nafasi ya 12. Je nani unampa beti yako leo akupe pesa?. Tandika jamvi hapa.
SERIE A nayo inatarajiwa kuendelea Parma atamenyana dhidi ya Cagliari ambapo mara ya mwisho kukiwasha kati yao mgeni aliondoka na ushindi. Nafasi ya kushinda pesa unayo leo ukibashiri mechi hii na Meridianbet sasa. Unangoja nini sasa?. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako hapa.
Hlaikdhalika LIGUE 1 kule Ufaransa pia itaendelea ambapo Strasbourg atakuwa nyumbani kumenyan vikali dhidi ya Lens ambao wapo nafasi ya 1 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 7 hadi sasa. Ikumbukwe kuwa mechi ya mwisho walipokutana mwenyeji alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi au mgeni ataendeleza ubabe wake. Bashiri sasa.