Nafasi za Kazi 27 kwa Wataalamu wa Hesabu, TEHAMA, Uhandisi na Sekta Nyingine

Global Publishers February 28, 2026 0 Comments Dodoma, Tanzania – Cereals and Other Produce Board of Tanzania (COPBT) kwa kushirikiana na Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) imetangaza nafasi 27 za kazi kwa Wataalamu wa ndani wenye uadilifu, uthubutu na weledi. Nafasi hizi zinahusisha sekta mbalimbali ikiwemo hesabu, TEHAMA, uhandisi, upimaji wa mazao, ubora wa bidhaa,…

Read More

Mitandao Ya Kijamii Inaweza Kukupa Mume, Mke Mwema?

MITANDAO ya kijamii imerahisisha sana mambo. Wapo wanaoitumia vizuri na kuweza kufanikisha mambo mbalimbali ikiwemo biashara na fursa mbalimbali ikiwemo ajira na mambo mengine kadha wa kadha. Katika ulimwengu wa wapendanao, wapo pia wanaoitumia vizuri na kujikuta wakifikia hatua ya kufunga ndoa. Urafiki unaanzia kwenye mitandao ya kijamii, unakua na baadaye unaleta matunda mazuri, ndoa….

Read More

Hizi Hapa Changamoto Za Kuchanganya Mapenzi Na Kazi

NI wiki nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu kwenye ukurasa huu, mada tunayoendelea nayo ni ile tuliyoianza wiki iliyopita, ya namna ya kukabiliana na changamoto za kuchanganya mapenzi na kazi. Jambo la msingi unalopaswa kulitambua, siku zote mapenzi na kazi ni vitu ambavyo havitakiwi kuchanganywa, kama unafanya kazi na mwenzi wako, basi mkiwa kazini ni mfanyakazi mwenzako…

Read More

‘Kuzuia Kesi Sawa Kunahitaji Kuvunjilia mbali Taratibu Zinazochukulia Wapinzani kama Uhalifu’ – Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Ijumaa, Februari 27, 2026 Inter Press Service CIVICUS inajadili kuharamishwa kwa wapinzani nchini Ufilipino na Kyle A Domequil, msemaji wa Mtandao wa Free Tacloban 5, kampeni inayomuunga mkono mwanahabari Frenchie Mae Cumpio, mtetezi wa haki za binadamu Marielle Domequil na washtakiwa wenzao na wanaotetea kuachiliwa kwao. Kyle A Domequil Mnamo tarehe 22 Januari,…

Read More