Ligue 1, EPL, La Liga, Serie A – Odds Kubwa Leo Kwenye Meridianbet

Meridianbet siku ya leo wanasema hivi una nafasi ya kutimiza malengo yako endapo utasuka jamvi lako na Meridianbet. Timu kutoka ligi mbalimbali zitapigwa na hii ndio nafasi yako ya kutengeneza pesa sasa.

LIGUE 1 kule Ufaransa pia kuna mechi zitakazoendelea Rennes atamualika kwake Toulouse ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 6 pekee. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 6 huku mgeni yeye akiwa nafasi ya 10. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii ya leo. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.

AS Monaco atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Angers ambao wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Mechi ya mwisho kukipiga walitoka sare huku leo hii Meridianbet ikikupa nafasi ya kuondoka na mkwanja wa maana. Bashiri na Meridianbet.

Bingwa mtetezi wa ligi, PSG atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Le Havre ambao wanashika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Enrique wanahitaji ushindi kuendelea kujiweka vyema kwenye mbio za ubingwa. Je nani kukupatia mkwanja leo?. Beti sasa.

NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A25. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kama kawaida kule Ujerumani, BUNDESLIGA kitawaka haswa Bayer Leverkusen atakuwa mwenyeji wa Mainz 05 huku mara ya mwisho kukutana kati yao mwenyeji alindoka na pointi 3. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii pale Meridianbet. Tengeneza mkeka hapa.

Nao Hoffenheim watakuwa kibaruani dhidi ya ST. Pauli ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 26 hadi sasa huku wenyeji wanauangalia chezo huu kama muhimu kwao na ushindi utawafanya waendelee kushika nafasi 4 za juu. Je nani unampa ushindi siku ya leo pale Meridianbet?. Suka jamvi hapa.

Na mechi kali leo hii itakuwa ni hii ya Der Klasiker kati ya Borussia Dortmund vs Bayer Munich ambapo hawa wote wanafatana kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni pointi 12 pekee. Je nani unampa nafasi ya kuibuka na ushindi siku ya leo?. Bashiri hapa.

EPL itaendelea kwa michezo kadhaa ambapo Liverpool atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya West Ham United ambao wapo nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi. Arne Slot na vijana wake wanahitaji ushindi huu siku ya leo. Nani kuondoka na ushindi leo?. Bashiri hapa.

Kwa upande wa Newcastle United yeye atakuwa kibaruani dhidi ya Everton huku tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 1 pekee. Mara ya mwisho kukutana kati yao vijana wa Eddie Howe waliondoka na ushindi mkubwa. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. Jisajili hapa.

Leeds United watakuwa nyumbani kumkaribisha Manchester City ambao wapo kwenye mbio za ubingwa. Vijana wa Pep Guardiola hii mechi ni muhimu sana kwao ambapo ushindi wa kwenye mtanange huu utawaweka sehemu nzuri kwenye kulisaka taji la EPL. ODDS KUBWA zipo hapa.

Vilevile ligi kuu ya Hispania yaani LALIGA itaendelea kwa mechi kibao ambapo Barcelona atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Villarreal huku wakali wa ubashiri wakiipa mechi hii ODDS za kibabe kabisa. Nafasi ya kuondoka na mkwanja unayo leo Meridianbet. Tandika jamvi hapa.

Kwa upande wa Real Sociedad yeye atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Mallorca ambao wanashika nafasi ya 18 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Suka jamvi hapa.

Vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid watakuwa ugenini pia kusaka ushindi dhidi ya Real Oviedo ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Simeona anahitaji kushiriki michuano ya UEFA msimu ujao hivyo ushindi ni muhimu sana kwake. Nani kushinda leo?. Jisajili hapa.

SERIE A pia kuna mitanange ya pesa Como 1907 atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya US Lecce ambapo mechi ya mwisho kukutana mwenyeji aliondoka na ushindi. Nafasi ya wewe kuibuka mbabe unayo hapa. Beti sasa.

Naye Bingwa mtetezi wa ligi, Napoli atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Hellas Verona huku mechi ya kwanza kukutana kati yao walitoka sare. Leo hii Conte na vijana wake wanahitaji ushindi ili kufukuzia vyema mbio za ubingwa. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi hapa.

Kinara wa ligi Inter Milan