RAIS DKT.DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA TAASISI YA KIMATAIFA YA KEEP A CHILD ALIVE IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Keep a Child Alive, Antonio Ruiz-Giménez Jr. na Ujumbe wake pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Bi. Doris Mollel, tarehe 1 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na masuala mengine mazungumzo hayo yalijikita kuimarisha ushirikiano baina ya Serikali na Taasisi hiyo katika kuboresha huduma za uzazi na afya ya mama na mtoto nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Keep a Child Alive, Antonio Ruiz-Giménez Jr. na Ujumbe wake pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Bi. Doris Mollel, tarehe 1 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Keep a Child Alive, Antonio Ruiz-Giménez Jr. na Ujumbe wake, Naibu Waziri wa Afya Dkt. Florence Samizi pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Bi. Doris Mollel, tarehe 1 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.