ALIYEKUWA MBUNGE JIMBO LA KOROGWE MJINI YUSUPH NASSIR AAACHIWA KWA DHAMANA
Na Mwandishi Wetu ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Yusuph Abdallah Nassir ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam baada ya kushikiliwa kwa saa kadhaa kwa mahojiano akituhumiwa kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Yusuph ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo mwaka 2010-15 alikamatwa juzi kwa mahojiano…