Global Publishers
March 4, 2026
0 Comments
Barcelona imekosa nafasi ya kufika fainali ya Copa del Rey baada ya kupoteza kwa jumla ya mabao 4-3 dhidi ya Atletico Madrid, licha ya ushindi wao wa 3-0 kwenye marudiano ya nusu fainali.
Matokeo ya Marudiano
Jumla ya Mabao (Aggregate): 4–3
Barcelona walipoteza 4-0 kwenye mchezo wa kwanza, hali ambayo ilifanya ushindi wa 3-0 kwenye marudiano usitoshe kuwaleta kwenye fainali.
Atletico Madrid Yatinga Fainali
Atletico Madrid sasa watasubiri mshindi kati ya Real Sociedad na Athletic Bilbao, ambao watachana Machi 4, 2026, ili kuamua mpinzani wa fainali.