PESA iko nje nje leo hii kwenye mechi za ligi mbalimbali ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi.
EPL kama kawaida kuna mechi kali ambayo itapigwa leo Chelsea atakuwa ugenini dhidi ya Aston Villa ambao wapo nafasi ya 3 huku wao wakiwa nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti yao hadi sasa ni pointi 6. Mechi ya mwisho kukutana, The Blues walipoteza. Bashiri hapa.
Naye Kinara wa ligi Arsenal atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Brighton huku mchezo huu ukiwa ni muhimu sana kwake kwenye mbio za ubingwa. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda The Gunners. Je wenyeji watakubali kupoteza mechi nyumbani leo?. Jisajili hapa.
Vijana wa Pep Guardiola Manchester City watakua Etihad kusaka pointi 3 dhidi ya Nottingham Forest ambao wapo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi. Nafasi ambayo sio nzuri hasa baada ya msimu uliopita kufanya vyema. City anataka ushindi kukimbiza mbio za ubingwa. Je Forest watamzuia?. Suka jamvi hapa.
Newcastle United atamenyana dhidi ya Manchester United ambao wamekuwa na matokeo mazuri hivi karibuni chini ya kocha mpya Carick wakishinda mechi zao 6 wameshinda 5 na kutoa sare moja. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, United waliondoka na ushindi. Je Magpies kulipa kisasi siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.
NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A25. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Hispania kuna mechi moja ya LALIGA kati ya Rayo Vallecano dhidi ya Real Oviedo ambao kwenye msimamo wa ligi wapo nafasi ya mwisho wakiwa na pointi zao 17. Kila timu inahitaji kushinda ili kujiweka sawa kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Bashiri hapa.
Pia kule Ujerumani, BUNDESLIGA kuna mechi moja kali kati ya Humburger dhidi ya Bayer Leverkusen ambao kwasasa wapo nafasi ya 6 huku wenyeji wao wapo nafasi ya 12. Mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka na ushindi mzuri. Je wewe bati yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
Copa del Rey mchezo wa Nusu fainali mkondo wa pili utapigwa pia ambapo Real Sociedad atamenyana dhidi ya Athletic Bilbao ambapo kwenye mechi ya kwanza mwenyeji aliondoka na ushindi. Je nani kushonga mbele siku ya leo? Beti hapa.