Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet leo unaweza ukabashiri mechi za Wolves?. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi kwenye mechi hii kwa kuchagua machaguo uayatakayo.
Timu ya Wolverhampton Wanderers ikiwa niĀ timu yenye historia ndefu na mashabiki wa dhati, inakabiliana na msimu wa changamoto mkubwa wa ligi ya Uingereza. Hadi sasa, Wolves wako katika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi, jambo linalowalazimu kuonyesha ujasiri mkubwa na utayari wa kupambana kila mechi.
Licha ya changamoto za msimu huu, Wolves walifanya usajili makini wa wachezaji wapya, wakiimarisha safu ya kati na mashambulizi kwa lengo la kuleta mabadiliko chanya.
Changamoto hiyo ya kuwa na matokeo mabaya bado haiwazuii kupambana kwenye kila mechi ambayo wanacheza kwani hadi sasa wamekuwa ni timu ambayo iliwazuia vinara wa ligi, Arsenal kuchukua pointi 3.
NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A25. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Msimu huu, Wolves wameshiriki mashindano mbalimbali ikiwemo ligi kuu, kombe la FA, na Carabao ambalo walitoka, lakini bado wamebaki kwenye kombe la FA.
Kocha mkuu, Rob Edwards, anasisitiza umuhimu wa kujenga morali na kuzingatia kila mechi kama fursa ya kujirekebisha na kuimarisha kikosi. Meridianbet inakwambia kuwa bashiri mechi za leo hapa kwani ODDS KUBWA zipo.
Ingawa matokeo hayajawa upande wao, Wolves wanaendelea kuonyesha juhudi, umoja, na moyo wa kupambana, jambo linalowapa mashabiki matumaini kuwa msimu huu utakuwa sehemu ya kujenga msingi imara kwa mafanikio yajayo.
Kuangalia nafasi walizo nazo, kila mchezo ni fursa ya kuonyesha roho ya Wolves na kuonyesha kuwa klabu hii haiwezi kupuuzia hofu, bali inakabiliana nayo kikamilifu.
Je Mbwa Mwitu msimu huu wanaweza kushuka daraja?. Au wanaweza kupambana na kubakia kwenye ligi kutokana na mechi ambazo zimebaki mpaka sasa?. Jisajili na ubashiri na Meridianbet mechi zote.