Je Wolves Msimu Huu Atashuka Daraja?

LEO hii Meridianbet inaangazia klabu ya Wolverhampton Wanderers ambao wamekuwa na msimu mbaya kwenye mashindano yote hadi sasa. Timu hiyo kutoka Uingereza inahitaji mabadiliko za haraka sasa kubakia kwenye ligi msimu ujao. Wolverhampton Wanderers wameonyesha ukuaji na mapambano yasiyo na kifani kwenye mashindano yote waliyoshiriki. Licha ya changamoto za kiufundi na ushindani mkali kutoka klabu kubwa…

Read More

WAZIRI ULEGA: BARABARA YA TAMKO MAPINGA KUKAMILIKA

Na Khadija Kalili,Kibaha WAZIRI wa Wizara ya Ujenzi ambaye pia ni Mhe.Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega amesema kuwa barabara ya TAMCO Mapinga itakamilika katika msimu ujao wa fedha na kuwataka wananchi waendelee kuwa wastahmilivu na adha wanayoipitia sasa. Waziri Ulega amesema hayo katika kikao cha siku moja cha Bodi ya Barabara ya Mkoa…

Read More

Siku tatu ngumu za Sowah Simba

NI takribani wiki moja imepita tangu taarifa za mshambuliaji wa Simba, Jonathan Sowah ziripotiwe huku ikielezwa amesimamishwa kutokana na madai ya utovu wa nidhamu. Wakati muda huo ukipita huku kukiwa na ukimya kidogo, mapya yameibuka na kuelezwa uongozi wa klabu hiyo umempa siku…

Read More