Odds Za Moto Leo! Freiburg, Barcelona na Dortmund Wanacheza

Je unajua ushindi wa haraka unaeza ukaupata Meridianbet ambao hawa ni wakali wa mambo ya ubashiri?. Kama hujajua basi ndio nakupa taarifa sasa unachotakiwa kufanya ni kuweka dau kwenye simu yako na kuanza kubashiri na Meridianbet leo.

Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA itaendelea Freiburg ataumana dhidi ya Bayer Leverkusen  ambapo mechi ya mwisho kukutana kati yao mwenyeji alipigika. Leo hii akiwa nyumbani anataka kulipa kisasi huku Meridianbet wakikwambia kuwa pesa tamu ipo hapa. Suka jamvi hapa.

Kwa upande wa  VFB Stuttgart atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Mainz ambao nao pia wanahitaji ushindi siku ya leo. Tofauti yao hadi sasa ni pointi 23 kwenye msimamo wa ligi huku wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia kuwa mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Beti sasa.

Borussia Dortmund watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya FC Cologne ambao wanashika nafasi ya 13 wakiwa na pointi zao 24 huku wageni woa wakiwa na pointi zao 52 hadi sasa. Kila timu inahitaji pointi 3 siku ya leo huku nafasi ya wewe kuibuka na mkwanja leo ikiwa ni kubwa zaidi. Jisajili hapa.

NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A26. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kule Hispania, LALIGA itaendelea kwa michezo kadhaa ambapo Levante atamualika kwake Girona ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 9. Mwenyeji yupo nafasi mbaya kabisa kwenye msimamo wa ligi huku ushindi huu ukiwa ni muhimu sana kwake. Nnani kuondoka na ushindi leo?. Bashiri hapa.

Atletico Madrid ya Simeone watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Real Sociedad ambao wapo nafasi ya 8 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 3. Mara ya mwisho kukutana kati yao hakuna ambaye alikuwa mbabe. ODDS KUBWA zipo Meridianbet leo. Jisajili hapa.

Vinara wa ligi, FC Barcelona watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Athletic Bilbao ambao wapo nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Lakini pia Bilbao wanahitaji kulipa kisasi baada ya mechi ya mwisho kuchapika dhidi ya vijana hawa wa Hans Flick. Nnai unampa beti yako?. Tandika jamvi hapa.

Ufaransa, LIGUE 1 napo mechi za ushindi zipo Nantes atamenyana dhidi ya Angers huku mtanange wa mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka na ushindi. Mwenyeji yupo kwenye hali mbaya nafasi ya pili kutoka mwisho akiwa na pointi zake 17. Meridianbet imekupa machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hii. Suka jamvi sasa.

Auxerre naye ataumana vikali dhidi ya Strasbourg ambao wapo nafasi ya ambao wanashika nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Je nani unampa beti yako siku ya leo?. Bashiri hapa.

Pia mechi nyingine ni hii ya Toulouse vs Marseille ambao ndio wanapewa nafasi ya kushinda mechi hii pale Meridianbet. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii hivyo ingia sasa na usuke jamvi lako la ushindi siku ya leo.