Rais Samia Ashiriki Mazungumzo na Viongozi wa EAC Arusha

Global Publishers
March 7, 2026
0 Comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Somoei Ruto pamoja na Rais wa Uganda MYoweri Kaguta Museveni na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 07 Machi, 2026.