Global Publishers
March 9, 2026
0 Comments
Kampuni inatafuta wafanyakazi wenye motisha na nidhamu ya kazi kujaza nafasi za Customer Care na Assistant Supervisor. Nafasi hizi zipo kwa kazi za moja kwa moja katika maduka yaliyoko kwenye Malls.
1. Customer Care – Nafasi 17
Vigezo vinavyohitajika:
- Uwe na ujuzi mzuri wa mawasiliano (Good communication skills)
- Uwe na huduma bora kwa wateja (Customer care nzuri)
- Uweze kuzungumza na wateja kwa heshima na kuwajibu maswali yao
- Nidhamu ya kazi
- Uwe tayari kuhudumia maduka yaliyopo kwenye Malls
Mshahara: 450,000 TSH / mwezi
2. Assistant Supervisor – Nafasi 13
Vigezo vinavyohitajika:
- Uwe na uwezo wa uongozi (Leadership skills)
- Kuwa mtu mwaminifu (Honest person)
- Uzoefu wa usimamizi wa kazi (Management experience)
Mshahara: 800,000 TSH / mwez
Jinsi ya Kuomba:
Tuma maombi yako kupitia WhatsApp pekee kwa namba: 0610155136
Tafadhali hakikisha unaweka taarifa zako kamili na uzoefu wako wa kazi unapowasiliana.