Rais wa Shirikisho la Soka Kongo Afungwa Jela Maisha kwa Kashfa ya Fedha

shemeliezer shem March 11, 2026 0 Comments Jean-Guy Blaise Mayolas, Aliyekua Rais wa Shirikisho la soka Kongo Brazzaville (Kushoto), Gianni Infantino rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) Mahakama nchini Kongo Brazzaville imemkuta na hatia Rais wa Shirikisho la Soka la nchi hiyo, Jean-Guy Blaise Mayolas, kwa makosa makubwa ya kifedha yaliyohusisha utakatishaji…

Read More

Madaktari wataja njia rahisi ya kulinda figo

Dar es Salaam. Wakati kesho Alhamisi, Machi 12, 2026 ikiwa ni siku ya figo duniani, wataalamu wa afya nchini wameonya mtindo wa maisha unaohusisha matumizi makubwa ya soda, vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) na vilevi, huku watu wakipunguza unywaji wa maji ya kutosha, unaongeza hatari ya kupata magonjwa ya figo. Kwa mujibu wa wataalamu,…

Read More

Athari za nchi wanachama kutoipa kipaumbele EAC

Dar es Salaam. Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), inasuasua kutokana na baadhi ya nchi wanachama kutoipa nafasi kubwa kama chombo chenye manufaa kwao katika masuala tofauti ikiwamo ya kiuchumi na kidiplomasia. EAC inapoteza mvuto na nguvu ya ushawishi kwa wanachama wake na ni sahihi kusema wanachama wenyewe ndiyo wanaiua kutokana na kutoitunza na kuipa nafasi…

Read More

Mambo 7 yamkalia pabaya Pedro Yanga

YANGA inaendelea kugawa dozi kwenye mechi zake ikitoka kupata mshtuko wa kudondosha pointi mbili baada ya kulazimishwa sare dhidi ya Simba, mchezo ambao uliibua hoja mbalimbali juu ya kiwango cha kikosi hicho. Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa dabi timu hiyo ikiwa chini…

Read More