Yanga Yachanja Mbuga Ligi Kuu Licha ya Kutolewa CAF

Je unajua kuwa ni rahisi sana kwako wewe kusuka jamvi na Meridianbet endapo Mechi za Yanga zitakuwa zinachezwa?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanakungoja sasa ingia na ubashiri hapa.

Yanga wameendelea kuthibitisha kwa nini wanabaki kuwa moja ya timu kubwa zaidi katika soka la Tanzania. Wakiwa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuvuna pointi 29 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa.

Katika ligi ya ndani, Yanga wamekuwa na mwendelezo wa kuvutia wa matokeo, wakikusanya pointi muhimu kwa nidhamu na ubora mkubwa wa kiuchezaji.

Safu yao ya ushambuliaji imekuwa tishio kwa kila mpinzani, huku ulinzi wao ukiwa miongoni mwa safu imara zaidi msimu huu. Uwezo wa kushinda mechi ngumu, hasa zile za ugenini wakiwa hawajapoteza mchezo wowote hadi sasa.

NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A26. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kwenye ligi ya Mabingwa yaani (CAF) Yanga wameshindwa kwenda hatua za Robo Fainali kwenye Kundi lao B, ambalo lilikuwa na timu Al Ahly, FAR Rabat, JS Kabylie ambapo walimaliza nafasi ya 3.

Licha ya juhudi kubwa na mapambano ya hali ya juu uwanjani, walishindwa kusonga mbele, jambo lililowakatisha tamaa mashabiki lakini pia kuwa somo muhimu kwa mustakabali wa klabu. Jisajili na ubashiri na Meridianbet sasa.

Kutolewa kwenye michuano hiyo kumetoa nafasi ya tathmini ya kina  kuangalia maeneo yanayohitaji maboresho, kuimarisha kikosi na kuongeza ushindani wa ndani ili kujiandaa vyema zaidi kwa michuano ya kimataifa ijayo.

Yanga wameonyesha kuwa wana msingi imara wa ushindani, lakini safari ya mafanikio barani Afrika inahitaji uwekezaji endelevu, uzoefu na utulivu wa kiufundi.

Timu hiyo ambayo ipo chini ya kocha mkuu Pedro Goncalves wanatarajiwa kuwa na mafanikio msimu huu ya kuchukua makombe makubwa ikiwemo la ligi kuu ya Tanzania kwani ana wachezaji wazuri sana.

Wachezaji wao muhimu wameendelea kubeba majukumu ipasavyo, huku wakifanya ongezeko la wachezaji msimu huu wakiwemo Allan Okelo, Depu, Damaro, Mwanengo, Buba na wengine wengi.

Kwa ujumla, msimu wa Yanga umeonyesha picha ya timu yenye uthabiti wa ndani na kiu ya mafanikio ya kimataifa. Licha ya kuishia njiani kwenye CAF, Yanga bado wanasimama imara wakiongoza ligi na kujiandaa kwa sura mpya ya ushindani siku zijazo.