MWENYEKITI WA KAMATI YA TEITI APONGEZA MGODI WA DHAHABU WA GEITA KWA KUTEKELEZA SHERIA NA MIRADI YA CSR
📍*Geita.* Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI, Balozi Wilson Masilingi, ametembelea Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited akiambatana na Menejimenti ya TEITI, kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na menejimenti ya mgodi huo. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Balozi Masilingi alisema ziara hiyo imelenga kujenga na kuimarisha ushirikiano kati ya TEITI na wadau…