Swala ya Eid Kufanyika Msikiti wa Msikiti wa Mfalme Mohamed VI
Global Publishers March 13, 2026 0 Comments Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata) limetangaza rasmi Sikukuu ya Eid El-Fitri mwaka huu itasherehekewa Machi 20 au 21, 2026, kutegemea mwandamo wa mwezi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Machi 12, 2026 na Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, sherehe za kitaifa zitaongozwa na…