Taasisi ya elimu inakaribisha maombi kutoka kwa walimu wenye sifa kujaza nafasi mbalimbali za kufundisha katika ngazi ya Sekondari (Ordinary Level) na Shule ya Msingi katika maeneo ya Dar es Salaam na Bagamoyo. Tunatafuta walimu wenye ari ya kufundisha, weledi, na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya taaluma na malezi.
1. Secondary School (Ordinary Level)
1.1 Mathematics Teacher
Maeneo ya kazi: Masaki, Mbezi Kimara, Bagamoyo
Mshahara: Kuanzia TSh 800,000 kwa mwezi au zaidi
Manufaa:
Idadi ya nafasi: Walimu 7
1.2 Geography Teacher
Maeneo ya kazi: Masaki, Mbezi Kimara, Bagamoyo
Mshahara: Kuanzia TSh 700,000 kwa mwezi au zaidi
Manufaa:
Idadi ya nafasi: Walimu 7
1.3 Physics Teacher
Eneo la kazi: Mikocheni, Dar es Salaam
Mshahara: Kuanzia TSh 700,000 kwa mwezi au zaidi
Manufaa:
Idadi ya nafasi: Walimu 2
2. Primary School Level
Tunatafuta walimu wa kufundisha madarasa ya Grade 4 hadi Grade 7 katika shule zetu zilizopo Mbezi Kimara, Masaki, Msasani, Kurasini na Kigamboni – Dar es Salaam.
Nafasi Zilizopo
-
Science Teacher – Walimu 3 (Grade 4–7)
-
Geography & Kiswahili Teacher – Walimu 3 (Grade 5–7)
-
Kiswahili & Civics Teacher – Walimu 2 (Grade 4–7)
-
English Teacher – Walimu 4 (Grade 5–7)
-
Librarian – Nafasi 2
Jinsi ya Kuomba
Kwa maelezo zaidi au kutuma maombi, tafadhali wasiliana nasi kupitia:
📱 WhatsApp (Only): 0623 872 871
🌍 Kwa wanaowasiliana kutoka nje ya Tanzania, tumia +255 kabla ya namba
📧 Email: [email protected]
Pia unaweza kutufuatilia kupitia Instagram: Job Junction Tanzania
Job Junction Tanzania
“We Mean What We Are Doing”