Jennifer Lopez Awaacha Mashabiki Midomo Wazi ‘Atupia Gauni Fupi’
Jennifer Lopez ameendelea kuthibitisha kwa nini bado ni miongoni mwa mastaa wakubwa duniani baada ya kuonekana akivutia sana akiwa kwenye gauni lake fupi zaidi kuwahi kuvaa, wakati akisherehekea mwisho wa maonyesho yake ya Vegas residency. Msanii huyo mwenye miaka 56 aliibua gumzo kubwa kwa muonekano wake wa kuvutia, akionyesha umbo lake lililonyooka na miguu yake…