Global Publishers
March 18, 2026
0 Comments
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi katika nafasi mbalimbali za kibalozi na taasisi, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha utendaji wa serikali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari S. Machumu, uteuzi huo unahusisha viongozi waliopangiwa majukumu mapya.
