Global Publishers
March 18, 2026
0 Comments
Siku ya leo unaweza ukaibuka bingwa kwa kubashiri na wakali wa ubashiri Meridianbet. Timu nyingi za ushindi zinakungoja wewe, hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
Katika dimba la Anfield Liverpool ataumana dhidi ya Galatasaray Instanbul baada ya mechi ya kwanza kupigika kule Uturuki. Slot anahitaji ushindi kwenye mtanange huu wa leo ili ajiweke vyema kwenye mbio za kufuzu hatua ya Robo Fainali. Mgeni kwenye mechi hii anahitaji hata sare pekee asonge mbele. Je Jogoo anaweza kukubali kutolewa kwnye michuano hii sasa?. Tengeneza jamvi na Meridianbet leo.
Wakati huo huo, Atletico Madrid baada ya kutoa dozi nzito mechi yake iliyopita, sasa watakuwa ugenini dhidi ya Tottenham Hot Spurs ambao wanatakiwa kushinda magoli 4 na kuendelea ili wafuzu hatua inayofata. Simeone na vijana wake wana mtaji wa magoli mengi hivyo hakuna presha kwenye mechi hii kwani hata sare kwao inawapeleka hatua inayofuata. Je Tudor na vijana wake watafanya nini kwenye mechi hii?. Beti hapa.
Ukiacha mechi za UEFA pia unaweza kutengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mechi ya kibabe ni hii ya Barcelona vs Newcastle United huku mechi ya kwanza walipokutana walitoa sare, ambapo vijana wa Hans Flick wakkisawazisha bado dakika za mwisho kabisa za mchezo. Huu ni mchezo ambao kila timu inahitaji ushindi ili iweze kusonga mbele kwenye hatua inayofauta. Meridianbet wanampa naasi kubwa ya kushinda Barca. Je wewe unampa nani ushindi?. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Bayern Munich wao watakuwa nyumbani baada ya kutoa dozi nizto kwa Atalanta ya mabao 6-1. Wageni wanahitaji ushindi kuanzia goli 5 na kuendelea ili waweze kufuzu kwenye hatua inayofuata ya ligi ya mabingwa. Vijana hawa wa Vicent Kompan hawana presha kabisa na mechi hii kwani tayari wa mtaji wa kutosha. Suka jamvi lako hapa sasa