Netanyahu Awapongeza Wananchi wa Israel, Asema Dunia Iko Hatarini – Video
Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Waziri Mkuu wa Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Benjamin Netanyahu ameendelea kusisitiza msimamo wake kwamba vita vinavyoendelea vinapaswa kuonekana kama mapambano dhidi ya tishio kubwa lisilo la kawaida, si tu kwa Israel bali kwa dunia nzima kwa ujumla. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Netanyahu alitumia sehemu…