Ligi mbalimbali zinazidiki kupamba moto huku nafasi ya wewe kujiondokea na kitita ikiwa kubwa kabisa. Kule Italia, SERIE A, kama kawaida, EPL ndio kabisa, Ujerumani kule Ligi ya Magoli mengi na Ufaransa kuwaka moto.
Tukianza na ligi kuu ya Italia kule SERIE A tutajikita na mechi ya Cagliari dhidi ya Napoli chini ya Antonio Conte huku mashabiki wa Cagliari wakijipanga kwa hamu kuona timu yao ikikabiliana na Napples, bingwa mtetezi wa Serie A.
Timu mwenyeji mpaka sasa wapo kwenye nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Serie A, wanahitaji kila pointi inayowezekana ili kudumisha nafasi zao na kuepuka shinikizo la kushuka daraja.
Kikosi hicho cha Fabio Pisacane wanahitaji ushindi kwenye mechi hii kwani kwenye mechi 6 za mwisho wamepoteza michezo minne na kupata sare mara mbili pekee, kitu ambacho kimewafanya wazidi kubakia kwenye nafasi za chini.
Huku kwa Antonio Conte hadi sasa wao wapo nafasi ya 3 kwenye ligi wakiwa nyuma pointi 9 na kinara wa ligi Inter. Ushindi huu utaenda kuwahakikishia nafasi ya 2, huku uwezo huu wakiw anao kabisa kutokana na kikosi cha wachezaji wenye ubora wakiwemo.
Leo hii unaweza kutengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Conte ana jeshi kubwa kabisa la kufanya wapate ushindi akiwemo McTominay, De Bruyne, Hojlund, Anguissa na wengine ambao kwa pamoja wanasaidiana natimu kuhakikisha hawashuki nafasi 4 za juu kwenye lgi.
Timu hizi si mara ya kwanza kukutana kwani historia inaonyesha Napoli mara nyingi amekuwa mshindi wanapokutana, kwani hata mechi ya kwanza kwenye ligi walipokutana, Napoli waliondoka na ushindi. Hivyo hii ni nafasi ya wenyeji kulipa kisasi
kwa kupata ushindi wakiwa nyumbani kwao. Je Conte atakubali?. Tusua kijanja na wakali wa ubashiri Meridianbet, kwani Odds kubwa zinakungoja sasa.
Je wenyeji leo hii wanaweza kukataa utumwa wao mbele ya bingwa mtetezi na kuibuka na pointi 3 siku ya leo?. Nafasi ya kushinda unayo leo.
Kule Uingereza sasa Ijumaa ya leo kwenye dimba la Vitality kutajaa tutaenda kushuhudia mtanange wa kukata na shoka wa EPL kati ya AFC Bournemouth dhidi ya Manchester United chini ya Carrick ambao wanaendelea kufanya vyema kabisa.
Mashabiki wa pande zote mbili watakuwa wamejawa na furaha kushuhudia timu zao zikifuana vikali kuwania pointi 3 muhimu kabisa kwenye ligi, lakini kwa upande wa wachezaji huu ni moja ya mchezo muhimu sana kwao kwani unaweza ukaamua mustakabali wao kwenye kupanda nafasi za juu zaidi.
Scort Parker na vijana wake ni waumini wa mfumo wa 4-2-3-1 ambapo kwenye mechi zao 5 za mwisho wametumia mfumo huo, lakini mbaya zaidi mechi 4 za mwisho wametoa sare hivyo ushindi ni muhimu sana kwenye mechi hii ya leo.
Nao Manchester United wao pia wanapenda kutumia mfumu huo huo wa 4-2-3-1, yaani kiufupi zinakutana timu ambazo zinapenda kutumia mfumo mmoja. Lakini kwa upande wa Mashetani Wekundu wapo kwenye ubora wao kwani mpaka sasa wameshinda mechi 4 mfululizo kwenye ligi na kusogea nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi.
Vilabu vyote vina wachezaji ambao wana ubora na wa kuchungwa zaidi ambapo kwa upande wa United Bruno ameendelea kuthibitisha ubora wake, lakini pia Bryan Mbeumo, Sesko, Cunha na wengine ambao wamekuwa ni chachu ya kuipa United Ushindi.
Bournemouth wao yupo Evanilson ambaye amekuwa na kiwango bora kabisa, lakini pia yupo Tavernier, Rayan na wengine kama kina Adili ambao kwa pamoja wanafanya klabu hii kuwa tishio hasa ikikutana na timu kubwa wakiwa nyumbani.
Mechi hii inatarajiwa kuwa ya mvutano wa kiufundi na kimkakati. Bournemouth hawataogopa kushambulia bila woga,. United, kwa upande mwingine, wanahitaji kudumisha nidhamu na kutumia uwezo wao wa kushambulia mara moja kwa mstari mmoja, wakiamini kuwa ufahamu wa mashindano makubwa unaweza kuleta tofauti.
Je nani kuondoka na pointi tatu siku ya leo?. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi kwenye mechi hii ndani ya Meridianbet kwani safari ya ushindi inaanzia hapa.