Usikose! Nafasi 31 za Kazi Zatangazwa Halmashauri ya Liwale
Global Publishers March 21, 2026 0 Comments Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale ametangaza rasmi nafasi za kazi 31 kwa Watanzania wenye sifa, baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Tangazo hilo linahusisha nafasi katika kada tatu tofauti ambazo ni Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja…