Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (MfalmeMohamed VI), Kinondoni jijini Dar es Salaam tarehe 21 Machi, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki swala ya Eid al-Fitr katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohammed VI), uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Machi 2026.
Rais Dkt. Samia, akisalimiana na Viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kushiriki swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI), Kinondoni jijini Dar es Salaam tarehe 21 Machi, 2026.Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin Zubeir akitoa salaam za Eid El-Fitri ikiwa sehemu ya kuhitimisha Swala ya Eid El-Fitri ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki ibada hiyo iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI), Kinondoni jijini Dar es Salaam tarehe 21 Machi, 2026.