MASHEKHE WAMPONGEZA MBUNGE LUTANDULA KUFUTURISHA WAISLAMU

Mbunge wa Jimbo la Chato Kusini,Pascal Lutandula …………. MASHEKHE wa Bakwata Jimbo la Chato Kusini wamepongeza matendo ya huruma yaliyoonyeshwa na Mbunge wa Jimbo hilo Pascal Lukas Lutandula baada ya kuwafuturisha waislamu wasiojiweza katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti katika Sikukuu ya Eid El-Fitr na Mashekhe wa misikiti ya Bakwata…

Read More

ZPL kuongezwa thamani kuitangaza Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema lengo la kuwekeza fedha nyingi kwenye sekta ya michezo ni kuhakikisha inakuwa msingi unaowezesha kukuza vipaji, kuongeza ushindani na kuifikisha Zanzibar katika viwango vya kimataifa. Hayo yalielezwa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi wakati alipokutana na uongozi wa taasisi ya Tanzania Securities Limited, Ikulu mjini Zanzibar….

Read More

MAHUBIRI: Nguvu ya maneno ya kinywa chako

Bwana Yesu asifiwe. Karibu kwenye tafakari ya neno la Mungu leo Jumapili. Ninaitwa Mchungaji Gasper Madumla. Somo letu la mahubiri linalotuongoza linasema “Nguvu ya maneno ya kinywa chako”.  Biblia inafundisha wazi kwamba maneno ya mwanadamu yana nguvu kubwa. Siyo sauti tu inayotoka kinywani, bali ni nguvu yenye uwezo wa kuumba, kujenga, au kubomoa. Ndiyo maana…

Read More

Ugumu Simba v TRA United uko hapa!

KUNA dakika 90 muhimu leo zitapigwa pale Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni Jijini Dar es Salaam, Simba itakaporejea nyumbani kupambana na TRA United, kwenye mchezo ambao utakuwa wa ushindani mkubwa kila timu ikiwa inahitaji pointi tatu za jasho. Huu utakuwa mchezo wa mwisho kwa timu hizo kabla ligi kuu haijasimama kwa wiki mbili kupisha…

Read More