Manchester United, Tottenham Wagombania Saini ya Orkun Kökçü
Global Publishers March 25, 2026 0 Comments Manchester United wamejiunga na Tottenham Hotspur katika mbio za kumsajili kiungo na nahodha wa Beşiktaş, Orkun Kökçü, ambaye ameibuka kuwa miongoni mwa wachezaji wanaovutia vilabu kadhaa barani Ulaya. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, vilabu hivyo viwili vya Ligi Kuu England vinafanya tathmini ya kuimarisha safu…