Jinsi kinga mpya ya VVU itakavyofanya kazi

Dar es Salaam. Serikali imeanza maandalizi ya kutumia dawa mpya ya sindano ya Lenacapavir kama njia mbadala ya kinga dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), hatua inayotarajiwa kurahisisha ufuasi wa tiba kwa makundi mbalimbali ya wananchi. Akizungumza katika mahojiano maalumu jijini Dodoma, Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Msasi amesema Lenacapavir italenga zaidi watu walio katika…

Read More

Huduma za miamala ya simu zinavyosukuma uchumi wa nchi

Mara nyingi mijadala ya maendeleo ya uchumi huzungumzia miradi mikubwa inayoweza kuonekana kwa macho kama barabara, reli, bandari, viwanja vya ndege au miradi ya nishati, pengi ni kwakuwa inahusisha uwekezaji mkubwa na kugusa sekta nyingi za uchumi. Mbali na miradi hiyo mikubwa, kuna nguvu nyingine ya miundombinu ambayo haijengwi kwa saruji wala chuma na haihitaji…

Read More

Karata ya kwanza Stars Fifa Series

TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’, leo itakabiliana na Liechtenstein katika mechi ya Fifa Series kwenye Uwanja wa Kigali Pele nchini Rwanda kuanzia saa 11:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Kabla ya mechi hiyo itatanguliwa na Aruba ikicheza dhidi ya Macau uwanjani hapo kuanzia saa 7:30 mchana. Washindi wa mechi  mbili watasonga mbele kucheza fainali…

Read More

Mkenya awachongea Guede, Rupia | Mwanaspoti

KOCHA wa Singida Black Stars, Mkenya David Ouma amesema safu ya ushambuliaji ya timu hiyo inatakiwa kuongeza umakini wa kutumia vizuri nafasi zinazotengenezwa, huku washambuliaji, Elvis Rupia na Joseph Guede, wakikabiliwa na kibarua kizito. Akizungumza na Mwanaspoti, Ouma alisema katika mechi 15 za mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu, bado hajaridhishwa kwa kiasi kikubwa na…

Read More

Mohamed Salah Atangaza Kuondoka Liverpool Bure Mwisho wa Msimu

Global Publishers March 26, 2026 0 Comments Mshambuliaji nyota wa Mohamed Salah ametangaza rasmi kuwa ataondoka ndani ya klabu ya Liverpool mwishoni mwa msimu huu, akihitimisha safari ya kihistoria ya miaka tisa ndani ya Anfield. Salah, mwenye umri wa miaka 33, ameondoka akiwa mchezaji huru (free transfer), jambo ambalo limewashtua mashabiki wengi wa soka duniani….

Read More

Salamba ajiondoa kambini Coastal | Mwanaspoti

INAELEZWA kwamba, mshambuliaji wa Coastal Union, Adam Salamba, ameamua kujiweka kando na timu hiyo kwa sasa, baada ya kudaiwa hajamaliziwa kiasi cha fedha za usajili walizokubaliana awali, tangu amejiunga na kikosi hicho cha ‘Wagosi wa Kaya’, Agosti 1, 2025. Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa kikosi hicho, umeliambia Mwanaspoti kwamba, Salamba ameondoka kambini na hayupo…

Read More

Ubora wa makipa Azam wampa mzuka Ibenge

VIWANGO vizuri vinavyoonyeshwa na makipa watatu wa Azam, Aishi Manula, Zuberi Foba na Issa Fofana, vimempa matumaini makubwa ya kufanya vizuri kocha mkuu wa kikosi hicho, Mkongomani Florent Ibenge, katika michuano tofauti ya msimu huu. Katika mechi 15 za Ligi Kuu Bara ilizocheza Azam msimu huu, Manula ndiye anayeongoza kwa kucheza nyingi zaidi, akifanya hivyo…

Read More

Serikali Yatoa Mwongozo Kwa Waliopoteza Pasipoti Nje ya Nchi – Video

Global Publishers March 26, 2026 0 Comments Ofisa Uchunguzi Mkuu kutoka Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Selestine Makoba. Ofisa Uchunguzi Mkuu kutoka Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Selestine Makoba, amewataka Watanzania walioko nje ya nchi kuhakikisha wanachukua hatua za haraka pindi wanapokumbana na hali ya…

Read More

Jinsi ya Kupunguza Mafuta ya Ini kwa Lishe Sahihi

Ini lenye mafuta ni hali inayotokea pale mafuta yanapokusanyika kwa wingi kwenye seli za ini, jambo linaloathiri utendaji wake kwa muda. Ikiwa hali hii haitadhibitiwa mapema, inaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya kama hepatitis, kovu la ini (fibrosis) na cirrhosis. Kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, mabadiliko sahihi ya ulaji yana mchango mkubwa katika kudhibiti…

Read More

Winga, Yanga ni suala la muda

KUNA taarifa zinazomhusu winga wa TRA United, Ramadhan Salum Chobwedo kuwa mbioni kujiunga na Yanga baada ya mabosi wa klabu hiyo kuonekana kuvutiwa na uwezo wake. Chobwedo ambaye huu ni msimu wake wa pili anacheza Ligi Kuu Bara, alianza kuitumikia KenGold 2024-2025 ambapo timu hiyo ilishuka daraja, ndipo akasajiliwa na TRA United msimu huu 2025-2026….

Read More