
KWENYE kuendeleza dhamira yake ya kugusa jamii na kuleta mabadiliko chanya, Meridianbet imeandika historia nyingine ya kipekee kwa kutoa msaada wa vifaa vya usafi kwa wagonjwa tofauti tofauti kwenye Hospitali ya Mwananyamala. Tukio hili limeacha alama ya matumaini na furaha kwa wote waliopokea msaada huo, likionyesha wazi kuwa Meridianbet si tu jukwaa la burudani ya kubashiri, bali pia ni mshirika wa kweli wa jamii.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, mwakilishi wa Meridianbet, Nancy Ingram, alieleza kuwa msaada huo ni sehemu ya mpango mpana wa uwajibikaji kwa jamii (CSR) unaolenga kurudisha fadhila kwa Watanzania. Alisisitiza kuwa Meridianbet inaamini katika kujenga jamii imara na yenye afya, ambapo kila mwananchi anahisi kuthaminiwa na kusaidiwa katika nyakati muhimu za maisha yake.
Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.
Kwa upande wao, wagonjwa walionufaika hawakusita kueleza furaha yao kubwa kwa kukumbukwa katika kipindi hiki nyeti cha kujiuguza. Walisema msaada huo umewapa faraja na kuwahakikishia kuwa bado kuna taasisi zinazojali ustawi wao. Aidha, walitoa wito kwa makampuni mengine kuiga mfano wa Meridianbet kwa kushiriki kikamilifu katika kusaidia jamii.
Zaidi ya kuwa kampuni ya kubashiri, Meridianbet inaendelea kujijengea jina kama mdau muhimu katika maendeleo ya kijamii. Hatua kama hizi zinaimarisha uhusiano kati ya kampuni na wateja wake, zikiongeza imani na uaminifu kwa chapa hiyo inayozidi kukua kwa kasi nchini.
Huku ukiendelea kufurahia odds kali na promosheni tamu kutoka Meridianbet, sasa una sababu zaidi ya kujivunia kuwa sehemu ya familia hii, familia inayojali, inayoshirikiana, na inayogusa maisha ya watu kila siku. Meridianbet sio tu mchezo, ni maisha halisi yanayobadilishwa.